Psalms 17:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haki yangu na ije kutoka kwako, kwani wewe wajua jambo lililo la haki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hukumu yangu na itoke kwako, macho yako na yaone yale yaliyo haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hukumu yangu na itoke kwako, Macho yako na yatazame mambo ya adili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haki yangu na ije kutoka kwako, kwani wewe wajua jambo lililo la haki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hukumu yangu na itoke kwako, macho yako na yaone yale yaliyo haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hukumu yangu na itoke kwako, macho yako na yaone yale yaliyo haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hukumu yangu na itoke kwako, Macho yako na yatazame mambo ya adili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haki yangu na ije kutoka kwako, kwani wewe wajua jambo lililo la haki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe uniamulie shauri langu, maana macho yako huyatazama yaliyonyoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hukumu yangu na itoke kwako, Macho yako na yatazame mambo ya adili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haki yangu ikuje kutoka kwako, maana wewe unajua jambo la haki.