Psalms 17:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe wajua kabisa moyo wangu; umenijia usiku, kunichunguza, umenitia katika jaribio; hukuona uovu ndani yangu, sikutamka kitu kisichofaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa unauchunguza moyo wangu na kunikagua usiku, ingawa umenijaribu, hutaona chochote. Nimeamua kwamba kinywa changu hakitatenda dhambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umenijaribu moyo wangu, umenijilia usiku, Umenihakikisha usione neno; Nimenuia kinywa changu kisikose,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe wajua kabisa moyo wangu; umenijia usiku, kunichunguza, umenitia katika jaribio; hukuona uovu ndani yangu, sikutamka kitu kisichofaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa unauchunguza moyo wangu na kunikagua usiku, ingawa umenijaribu, hutaona cho chote, nimeamua kwamba kinywa changu hakitatenda dhambi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa unauchunguza moyo wangu na kunikagua usiku, ingawa umenijaribu, hutaona chochote. Nimeamua kwamba kinywa changu hakitatenda dhambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umenijaribu moyo wangu, umenijia usiku, Umenichunguza usione neno; Nimenuia kinywa changu kisikose,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe wajua kabisa moyo wangu; umenijia usiku, kunichunguza, umenitia katika jaribio; hukuona uovu ndani yangu, sikutamka kitu kisichofaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umeujaribu moyo wangu na kunikagua usiku, ukaning'aza motoni pasipo kuona kibaya; nikajikaza moyoni kwa ajili ya kinywa changu, kisipite mpaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umenijaribu moyo wangu, umenijilia usiku, Umenihakikisha usione neno; Nimenuia kinywa changu kisikose,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unajua kabisa moyo wangu; umenifikia usiku kunichunguza, umenitia katika majaribu; haukuona uovu ndani yangu, sikusema kitu kisichofaa.