Psalms 17:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhusu matendo watendayo watu; mimi nimeitii amri yako, nimeepa njia ya wadhalimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu matendo ya wanadamu: kwa neno la midomo yako, nimejiepusha na njia za wenye jeuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mintarafu matendo ya wanadamu; Kwa neno la midomo yako Nimejiepusha na njia za wenye jeuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhusu matendo watendayo watu; mimi nimeitii amri yako, nimeepa njia ya wadhalimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutokana na matendo ya wanadamu, kwa neno la midomo yako, nimejiepusha na njia za wenye jeuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu matendo ya wanadamu: kwa neno la midomo yako, nimejiepusha na njia za wenye jeuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuhusu matendo ya wanadamu; Kwa neno la midomo yako Nimejiepusha na njia za wenye jeuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhusu matendo watendayo watu; mimi nimeitii amri yako, nimeepa njia ya wadhalimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matendo ya mtu yalivyo, ndivyo, midomo yake iumbuavyo; mimi nimejiangalia, nisizifuate njia zao walio wakorofi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mintarafu matendo ya wanadamu; Kwa neno la midomo yako Nimejiepusha na njia za wenye jeuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya matendo watu wanayotenda, mimi nimetii amri yako, sikushika njia za watesaji wakali.