Psalms 17:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimefuata daima njia yako; wala sijateleza kamwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatua zangu zimeshikamana na njia zako; nyayo zangu hazikuteleza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako, Hatua zangu hazikuondoshwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimefuata daima njia yako; wala sijateleza kamwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatua zangu zimeshikamana na njia zako; nyayo zangu hazikuteleza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatua zangu zimeshikamana na njia zako; nyayo zangu hazikuteleza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako, Hatua zangu hazikuondoshwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimefuata daima njia yako; wala sijateleza kamwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miguu yangu hushika sawasawa, uiongozapo, nazo nyayo zangu hazikutangatanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako, Hatua zangu hazikuondoshwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimefuata siku zote njia yako; wala sijatereza hata kidogo.