Psalms 17:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakuita, ee Mungu, kwani wewe wanijibu; unitegee sikio, uyasikie maneno yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, ninakuita, kwa kuwa utanijibu, nitegee sikio lako na usikie ombi langu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, nimekuita kwa maana utaitika, Utege sikio lako ulisikie neno langu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakuita, ee Mungu, kwani wewe wanijibu; unitegee sikio, uyasikie maneno yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, ninakuita, kwa kuwa utanijibu, unitegee sikio lako na usikie ombi langu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, ninakuita, kwa kuwa utanijibu, nitegee sikio lako na usikie ombi langu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, nimekuita kwa maana utaitika, Utege sikio lako ulisikie neno langu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakuita, ee Mungu, kwani wewe wanijibu; unitegee sikio, uyasikie maneno yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nikakuita, Mungu, kwani huniitikia; unitegee sikio lako, usikie ninayokuambia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, nimekuita kwa maana utaitika, Utege sikio lako ulisikie neno langu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, ninakuita, maana wewe unanijibu; unitegee sikio, uyasikie maneno yangu.