Psalms 17:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Onesha fadhili zako za ajabu, uwaokoe kutoka kwa adui zao, wale wanaokimbilia usalama kwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uoneshe ajabu ya upendo wako mkuu, wewe unayeokoa kwa mkono wako wa kuume wale wanaokukimbilia kutokana na adui zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Dhihirisha fadhili zako za ajabu Wewe uwaokoaye wanaokukimbilia; Kwa mkono wako wa kuume Uwaokoe nao wanaowaondokea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Onesha fadhili zako za ajabu, uwaokoe kutoka kwa adui zao, wale wanaokimbilia usalama kwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uonyeshe ajabu ya upendo wako mkuu, wewe uokoaye kwa mkono wako wa kuume wale wanaokukimbilia kutokana na adui zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uonyeshe ajabu ya upendo wako mkuu, wewe uokoaye kwa mkono wako wa kuume wale wanaokukimbilia kutokana na adui zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Dhihirisha fadhili zako za ajabu Wewe uwaokoaye wanaokukimbilia; Kwa mkono wako wa kulia Uwaokoe kutoka kwa adui zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Onesha fadhili zako za ajabu, uwaokoe kutoka kwa adui zao, wale wanaokimbilia usalama kwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toa magawio yako yastaajabishayo! Kwani huwaokoa wakujeteao, kwa nguvu ya mkono wako huwatoa mikononi mwao wawainukiao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Dhihirisha fadhili zako za ajabu Wewe uwaokoaye wanaokukimbilia; Kwa mkono wako wa kuume Uwaokoe nao wanaowaondokea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Onyesha wema wako wa ajabu; uwaokoe kutoka waadui zao wale wanaokimbilia kwako.