Psalms 17:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unilinde kama mboni ya jicho; unifiche kivulini mwa mabawa yako,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilinde kama mboni ya jicho lako, unifiche chini ya kivuli cha mabawa yako
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unilinde kama mboni ya jicho, Unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unilinde kama mboni ya jicho; unifiche kivulini mwa mabawa yako,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilinde kama mboni ya jicho lako, unifiche chini ya kivuli cha mbawa zako
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilinde kama mboni ya jicho lako, unifiche chini ya kivuli cha mbawa zako
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unilinde kama mboni ya jicho, Unifiche chini ya kivuli cha mbawa zako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unilinde kama mboni ya jicho; unifiche kivulini mwa mabawa yako,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilinde na kuniangalia kama mboni ya jichoni! Nifiche kivulini mwa mabawa yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unilinde kama mboni ya jicho, Unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unilinde kama mboni ya jicho lako; unifiche chini ya kivuli cha mabawa yako,