Psalms 17:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mbali na mashambulio ya waovu, mbali na maadui zangu hatari wanaonizunguka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kutokana na waovu wanaonishambulia, kutokana na adui wauaji wanaonizunguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wasinione wasio haki wanaonionea, Adui za roho yangu wanaonizunguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mbali na mashambulio ya waovu, mbali na maadui zangu hatari wanaonizunguka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kutokana na waovu wanaonishambulia, kutokana na adui wauaji wanaonizunguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kutokana na waovu wanaonishambulia, kutokana na adui wauaji wanaonizunguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wasinione wasio haki wanaonionea, Adui za roho yangu wanaonizunguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mbali na mashambulio ya waovu, mbali na maadui zangu hatari wanaonizunguka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nisiwaonekee waovu wanikorofishao, wala wachukivu wangu waizungukao roho yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wasinione wasio haki wanaonionea, Adui za roho yangu wanaonizunguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mbali na mashambulio ya waovu, mbali na waadui zangu wa hatari wanaonizunguka.