Psalms 18:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umeme ulimulika mbele yake; kukatokea mawinguni mvua ya mawe na makaa ya moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutokana na mwanga wa uwepo wake mawingu yalisogea, ikashuka mvua ya mawe na miali ya radi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Toka mwangaza uliokuwa mbele zake Kukapita mawingu yake makuu. Mvua ya mawe na makaa ya moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umeme ulimulika mbele yake; kukatokea mawinguni mvua ya mawe na makaa ya moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutokana na mwanga mkali wa uwepo wake mawingu yalisogea, ikanyesha mvua ya mawe na umeme wa radi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutokana na mwanga wa uwepo wake mawingu yalisogea, ikanyesha mvua ya mawe na umeme wa radi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Toka mwangaza uliokuwa mbele zake Kukapita mawingu yake makuu. Ikashuka mvua ya mawe na makaa ya moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umeme ulimulika mbele yake; kukatokea mawinguni mvua ya mawe na makaa ya moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa nguvu ya kumulika mbele yake mawingu yakatutumka, mvua ya mawe ikanyesha pamoja na kupiga umeme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Toka mwangaza uliokuwa mbele zake Kukapita mawingu yake makuu. Mvua ya mawe na makaa ya moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alijifunika giza pande zote, alijizungushia mawingu mazito ya mvua.