Psalms 18:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alinguruma kutoka mbinguni; Mungu Mkuu akatoa sauti yake, kukatokea mvua ya mawe na makaa ya moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu alinguruma kutoka mbinguni, sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana alipiga radi mbinguni, Yeye Aliye juu akaitoa sauti yake, Mvua ya mawe na makaa ya moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alinguruma kutoka mbinguni; Mungu Mkuu akatoa sauti yake, kukatokea mvua ya mawe na makaa ya moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA alinguruma kutoka mbinguni, sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana alinguruma kutoka mbinguni, sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA alinguruma kutoka mbinguni, Yeye Aliye Juu akaitoa sauti yake, Mvua ya mawe na makaa ya moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alinguruma kutoka mbinguni; Mungu Mkuu akatoa sauti yake, kukatokea mvua ya mawe na makaa ya moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akapiga ngurumo kule mbinguni, Alioko huko juu akaivumisha sauti yake, mvua ya mawe ikanyesha pamoja na kupiga umeme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA alipiga radi mbinguni, Yeye Aliye juu akaitoa sauti yake, Mvua ya mawe na makaa ya moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umeme ulimetameta mbele yake; na katika mawingu kukatokea mvua ya mawe na makaa ya moto.