Psalms 18:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alinipa tuzo kadiri ya uadilifu wangu; alinituza kwa vile mikono yangu haina hatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; amenilipa sawasawa na usafi wa mikono yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana alinitendea sawasawa na haki yangu, Sawasawa na usafi wa mikono yangu akanilipa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alinipa tuzo kadiri ya uadilifu wangu; alinituza kwa vile mikono yangu haina hatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA alinitendea sawa sawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA alinitendea sawasawa na haki yangu, Sawasawa na usafi wa mikono yangu akanilipa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alinipa tuzo kadiri ya uadilifu wangu; alinituza kwa vile mikono yangu haina hatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaupasayo wongofu wangu Bwana alinipa, akanipatia tena yaupasayo ung'avu wa mikono yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA alinitendea sawasawa na haki yangu, Sawasawa na usafi wa mikono yangu akanilipa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alinileta, akaniweka kwenye nafasi ya usalama; aliniponyesha kwa sababu alipendezwa nami.