Psalms 18:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana nimefuata njia za Mwenyezi-Mungu, wala sikujitenga na Mungu wangu kwa uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana nimezishika njia za Mwenyezi Mungu; sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana nimezishika njia za Bwana, Wala sikumwasi Mungu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana nimefuata njia za Mwenyezi-Mungu, wala sikujitenga na Mungu wangu kwa uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana nimezishika njia za BWANA, sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana nimezishika njia za bwana; sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana nimezishika njia za BWANA, Wala sikumwasi Mungu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana nimefuata njia za Mwenyezi-Mungu, wala sikujitenga na Mungu wangu kwa uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani naliziangalia njia zake Bwana, nisifanye kilicho kiovu mbele yake Mungu wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana nimezishika njia za BWANA, Wala sikumwasi Mungu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe alinitendea kwa kadiri ya haki yangu; alinilipa kwa vile mikono yangu haina kosa.