Psalms 18:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ee Mwenyezi-Mungu, waniangazia; walifukuza giza langu, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe, Ee Mwenyezi Mungu, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka; Mungu wangu hulifanya giza langu kuwa mwanga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Wewe unaiwasha taa yangu; Bwana Mungu wangu aniangazia giza langu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ee Mwenyezi-Mungu, waniangazia; walifukuza giza langu, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe, Ee BWANA, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka, Mungu wangu hulifanya giza langu kuwa mwanga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe, Ee bwana, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka; Mungu wangu hulifanya giza langu kuwa mwanga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa Wewe unaiwasha taa yangu; BWANA Mungu wangu aniangazia giza langu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ee Mwenyezi-Mungu, waniangazia; walifukuza giza langu, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe ndiye anayeiwasha taa yangu, wewe Bwana, Mungu wangu, huliangaza nalo giza langu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa Wewe unaiwasha taa yangu; BWANA Mungu wangu aniangazia giza langu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unawaokoa wanyenyekevu, lakini unawashusha wenye macho ya kujivuna.