Psalms 18:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliwafuatia adui zangu na kuwakamata; sikurudi nyuma mpaka nimewaangamiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliwafuatia adui zangu na nikawapata, sikurudi nyuma hadi walipoangamizwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitawafuatia adui zangu na kuwapata, Wala sitarudi nyuma hata wakomeshwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliwafuatia adui zangu na kuwakamata; sikurudi nyuma mpaka nimewaangamiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliwafuatia adui zangu na nikawapata, sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliwafuatia adui zangu na nikawapata, sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitawafuatia adui zangu na kuwapata, Wala sitarudi nyuma hadi wakomeshwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliwafuatia adui zangu na kuwakamata; sikurudi nyuma mpaka nimewaangamiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitawakimbiza adui zangu, mpaka niwakamate; sitarudi, nisipokwisha kuwamaliza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitawafuatia adui zangu na kuwapata, Wala sitarudi nyuma hata wakomeshwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umepanua njia yangu wala miguu yangu haikuteleza.