Psalms 18:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipiga yowe lakini hapakuwa na wa kuwaokoa; walimlilia Mwenyezi-Mungu lakini hakuwajibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipiga yowe, lakini hapakuwa na mtu wa kuwaokoa; walimlilia Mwenyezi Mungu, lakini hakuwajibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walipiga yowe, lakini hakuna wa kuokoa, Walimwita Bwana lakini hakuwajibu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipiga yowe lakini hapakuwa na wa kuwaokoa; walimlilia Mwenyezi-Mungu lakini hakuwajibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipiga yowe kuomba msaada, lakini hapakuwepo na ye yote wa kuwaokoa; walimlilia BWANA, lakini hakuwajibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa; walimlilia bwana, lakini hakuwajibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walipiga yowe, lakini hakuna wa kuokoa, Walimwita BWANA lakini hakuwajibu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipiga yowe lakini hapakuwa na wa kuwaokoa; walimlilia Mwenyezi-Mungu lakini hakuwajibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna mwokozi, wanapolalamika, wanapomwitia Bwana, hawaitikii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walipiga yowe, lakini hakuna wa kuokoa, Walimwita BWANA lakini hakuwajibu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uliwakimbiza waadui zangu, na wale walionichukia niliwaangamiza.