Psalms 18:50 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu humjalia mfalme wake ushindi mkubwa; humwonesha fadhili zake huyo mteule wake, naam, humfadhili Daudi na wazawa wake milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Humpa mfalme wake ushindi mkuu, huonesha fadhili zake kwa mpakwa mafuta wake, kwa Daudi na wazao wake milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ampa mfalme wake wokovu mkuu, Amfanyia fadhili masihi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu humjalia mfalme wake ushindi mkubwa; humwonesha fadhili zake huyo mteule wake, naam, humfadhili Daudi na wazawa wake milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Humpa mfalme wake ushindi mkuu, huonyesha fadhili zake kwa mpakwa mafuta wake, kwa Daudi na uzao wake milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Humpa mfalme wake ushindi mkuu, huonyesha fadhili zake kwa mpakwa mafuta wake, kwa Daudi na wazao wake milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ampa mfalme wake wokovu mkuu, Amfanyia fadhili masihi wake, Daudi na wazawa wake hata milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu humjalia mfalme wake ushindi mkubwa; humwonesha fadhili zake huyo mteule wake, naam, humfadhili Daudi na wazawa wake milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme wake alimpatia wokovu mwingi, aliyempaka mafuta humfanyizia yenye upole; huyo ni Dawidi naye aliye wa uzao wake kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ampa mfalme wake wokovu mkuu, Amfanyia fadhili masihi wake, Daudi na mzao wake hata milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, nitakutukuza kati ya mataifa, nitaliimbia sifa jina lako.