Psalms 18:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo dunia ikatetemeka na kutikisika; misingi ya milima ikayumbayumba, kwani Mungu alikuwa amekasirika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dunia ilitetemeka na kutikisika, misingi ya milima ikatikisika; vilitetemeka kwa sababu alikuwa amekasirika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nchi iliyotikisika na kutetemeka, Misingi ya milima ikasuka-suka; Ikatikisika kwa sababu alikuwa na ghadhabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo dunia ikatetemeka na kutikisika; misingi ya milima ikayumbayumba, kwani Mungu alikuwa amekasirika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dunia ikatetemeka na kutikisika, misingi ya milima ikayumbayumba, ilitetemeka kwa sababu alikuwa amekasirika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dunia ilitetemeka na kutikisika, misingi ya milima ikatikisika, vilitetemeka kwa sababu alikuwa amekasirika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nchi iliyotikisika na kutetemeka, Misingi ya milima ikatingishika; Ikatikisika kwa sababu alikuwa na ghadhabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo dunia ikatetemeka na kutikisika; misingi ya milima ikayumbayumba, kwani Mungu alikuwa amekasirika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi ikatukutika na kutetemeka, nayo misingi ya milima ikatikisika kwa kutukuswa, kwani aliitolea makali yake yenye moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nchi iliyotikisika na kutetemeka, Misingi ya milima ikasuka-suka; Ikatikisika kwa sababu alikuwa na ghadhabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika taabu yangu, nilimwita Yawe; nilimulilia Mungu wangu anisaidie. Toka katika hekalu lake, alisikia sauti yangu; kilio changu kilimufikia katika masikio yake.