Psalms 19:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) Mbingu zatangaza utukufu wa Mungu; anga ladhihirisha kazi ya mikono yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu, anga zahubiri kazi ya mikono yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu, Na anga laitangaza kazi ya mikono yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbingu zatangaza utukufu wa Mungu; anga ladhihirisha kazi ya mikono yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu, anga zahubiri kazi ya mikono yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu, anga zahubiri kazi ya mikono yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu, Na anga laitangaza kazi ya mikono yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbingu zatangaza utukufu wa Mungu; anga ladhihirisha kazi ya mikono yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbingu zinausimulia utukufu wake Mungu, yaliyoko juu huyatangaza matendo ya mikono yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu, Na anga laitangaza kazi ya mikono yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Daudi.