Psalms 19:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nani aonaye makosa yake mwenyewe? Ee Mungu, niepushe na makosa nisiyoyajua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani awezaye kutambua makosa yake? Nisamehe makosa yangu nisiyoyajua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani awezaye kuyatambua makosa yake? Unitakase na mambo ya siri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nani aonaye makosa yake mwenyewe? Ee Mungu, niepushe na makosa nisiyoyajua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani awezaye kutambua makosa yake? Nisamehe makosa yangu nisiyoyajua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani awezaye kutambua makosa yake? Nisamehe makosa yangu nisiyoyajua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani awezaye kuyatambua makosa yake? Unitakase na mambo ya siri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nani aonaye makosa yake mwenyewe? Ee Mungu, niepushe na makosa nisiyoyajua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani ajuaye po pote, alipopotelewa? Uning'aze, yaniondokee nayo makosa yajifichayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani awezaye kuyatambua makosa yake? Unitakase na mambo ya siri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yananifundisha mimi mutumishi wako; kuyafuata kunaniletea zawadi kubwa.