Psalms 19:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unikinge mimi mtumishi wako na makosa ya makusudi, usikubali hayo yanitawale. Hapo nitakuwa mkamilifu, wala sitakuwa na hatia ya kosa kubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlinde mtumishi wako na dhambi za makusudi, nazo zisinitawale. Ndipo nitakapokuwa sina lawama, niwe huru na hatia kubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umzuie mtumishi wako asitende mambo ya kiburi, Yasinitawale mimi. Ndipo nitakapokuwa kamili, Nami nitakuwa safi, sina kosa lililo kubwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unikinge mimi mtumishi wako na makosa ya makusudi, usikubali hayo yanitawale. Hapo nitakuwa mkamilifu, wala sitakuwa na hatia ya kosa kubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mlinde mtumishi wako na dhambi za makusudi, nazo zisinitawale. Ndipo nitakapokuwa sina lawama, wala sitakuwa na hatia ya kosa kubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mlinde mtumishi wako na dhambi za makusudi, nazo zisinitawale. Ndipo nitakapokuwa sina lawama, wala sitakuwa na hatia ya kosa kubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umzuie mtumishi wako asitende mambo ya kiburi, Yasinitawale mimi. Ndipo nitakapokuwa kamili, Nami nitakuwa safi, sina kosa lililo kubwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unikinge mimi mtumishi wako na makosa ya makusudi, usikubali hayo yanitawale. Hapo nitakuwa mkamilifu, wala sitakuwa na hatia ya kosa kubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nako kwao wanaokusahau umtoweshe mtumwa wako, wasinitawale! Ndivyo, nitakavyokuwa pasipo kosa, nipate kutakata, yakiniondokea maovu, yaliyokuwa mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umzuie mtumishi wako asitende mambo ya kiburi, Yasinitawale mimi. Ndipo nitakapokuwa kamili, Nami nitakuwa safi, sina kosa lililo kubwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nani anayeona makosa yake mwenyewe? Ee Mungu, unisamehe makosa nisiyoyajua.