Psalms 19:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maneno ya kinywa changu, na mawazo ya moyo wangu, yakubalike mbele yako, ee Mwenyezi-Mungu, mwamba wangu na mkombozi wangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo wangu, yapate kibali mbele zako, Ee Mwenyezi Mungu, Mwamba wangu na Mkombozi wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako, Ee Bwana, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maneno ya kinywa changu, na mawazo ya moyo wangu, yakubalike mbele yako, ee Mwenyezi-Mungu, mwamba wangu na mkombozi wangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo wangu, yapate kibali mbele zako, Ee BWANA, Mwamba wangu na Mkombozi wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo wangu, yapate kibali mbele zako, Ee bwana, Mwamba wangu na Mkombozi wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako, Ee BWANA, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maneno ya kinywa changu, na mawazo ya moyo wangu, yakubalike mbele yako, ee Mwenyezi-Mungu, mwamba wangu na mkombozi wangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maneno ya kinywa changu sharti yakupendeze, nayo mawazo ya moyo wangu sharti yawe wazi mbele yako, Bwana, wewe ndiwe mwamba wangu na mkombozi wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu, Yapate kibali mbele zako, Ee BWANA, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unikinge mimi mutumishi wako na makosa ya makusudi, usikubali hayo yanitawale. Hapo nitakuwa mukamilifu, wala sitakuwa na kosa kubwa.