Psalms 19:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchana waupasha habari mchana ufuatao, usiku waufahamisha usiku ufuatao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku baada ya siku zinatoa habari, usiku baada ya usiku zinatangaza maarifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mchana husemezana na mchana, Usiku hutolea usiku maarifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchana waupasha habari mchana ufuatao, usiku waufahamisha usiku ufuatao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku baada ya siku zinatoa habari, usiku baada ya usiku zinatangaza maarifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku baada ya siku zinatoa habari, usiku baada ya usiku zinatangaza maarifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mchana husemezana na mchana, Usiku hutolea usiku maarifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchana waupasha habari mchana ufuatao, usiku waufahamisha usiku ufuatao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku huambia siku mwenziwe utume huo, nao usiku huutambulisha usiku mwenziwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mchana husemezana na mchana, Usiku hutolea usiku maarifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu; anga linaeleza kazi ya mikono yake.