Psalms 19:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hamna msemo au maneno yanayotumika; wala hakuna sauti inayosikika;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna msemo wala lugha, ambapo sauti zao hazisikiki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakuna lugha wala maneno, Sauti yao haisikilikani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hamna msemo au maneno yanayotumika; wala hakuna sauti inayosikika;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna msemo wala lugha, ambapo sauti zao hazisikiki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna msemo wala lugha, ambapo sauti zao hazisikiki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakuna usemi wala maneno, Sauti yao haisikilikani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hamna msemo au maneno yanayotumika; wala hakuna sauti inayosikika;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna msemo wala maneno, sauti zao zisisikilike mumo humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakuna lugha wala maneno, Sauti yao haisikilikani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchana unaupasha habari muchana unaofuata, usiku unaufahamisha usiku unaofuata.