Psalms 19:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hata hivyo, sauti yao yaenea duniani kote, na maneno yao yafika kingo za ulimwengu. Mungu ameliwekea jua makao yake angani;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauti yao imeenea duniani pote, nayo maneno yao yameenea hadi miisho ya ulimwengu. Katika mbingu amepiga hema kwa ajili ya jua,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauti yao imeenea duniani mwote, Na maneno yao hata miisho ya ulimwengu. Katika hizo ameliwekea jua hema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hata hivyo, sauti yao yaenea duniani kote, na maneno yao yafika kingo za ulimwengu. Mungu ameliwekea jua makao yake angani;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauti yao imeenea duniani pote, maneno yao yameenea mpaka miisho ya dunia. Katika mbingu amepiga hema kwa ajili ya jua,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauti yao imeenea duniani pote, nayo maneno yao yameenea hadi miisho ya ulimwengu. Katika mbingu amepiga hema kwa ajili ya jua,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauti yao imeenea duniani kote, Na maneno yao hadi miisho ya ulimwengu. Katika hizo ameliwekea jua hema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hata hivyo, sauti yao yaenea duniani kote, na maneno yao yafika kingo za ulimwengu. Mungu ameliwekea jua makao yake angani;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uvumi wao ulitokea katika nchi zote, nayo maneno yao yalifika hata mapeoni kwa ulimwengu; hata jua alilionea kituo hukohuko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauti yao imeenea duniani mwote, Na maneno yao hata miisho ya ulimwengu. Katika hizo ameliwekea jua hema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Si kwa musemo au kwa maneno; wala hakuna sauti inayosikilika;