Psalms 19:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nalo hutoka kama bwana arusi chumbani mwake, lafurahi kama shujaa aliye tayari kushindana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
linafanana na bwana arusi akitoka chumbani mwake, kama shujaa anavyofurahia kukamilisha kushindana kwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama bwana arusi akitoka chumbani mwake, Lafurahi kama mtu aliye hodari Kwenda mbio katika njia yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nalo hutoka kama bwana arusi chumbani mwake, lafurahi kama shujaa aliye tayari kushindana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
linafanana na bwana arusi akitoka chumbani mwake, kama shujaa afurahiavyo kukamilisha kushindana kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
linafanana na bwana arusi akitoka chumbani mwake, kama shujaa afurahiavyo kukamilisha kushindana kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nalo hutokeza kama bwana harusi akitoka chumbani mwake, Lafurahi kama mtu aliye hodari Kwenda mbio katika njia yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nalo hutoka kama bwana arusi chumbani mwake, lafurahi kama shujaa aliye tayari kushindana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo hutokea, kama mchumba anavyotoka chumbani mwake, hufurahia kupiga mbio njiani kama mpiga vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama bwana arusi akitoka chumbani mwake, Lafurahi kama mtu aliye hodari Kwenda mbio katika njia yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hata hivyo, ujumbe wao unaenea katika dunia yote, na habari zao zinafika miisho ya ulimwengu. Mungu amewekea jua makao yake katika anga;