Psalms 19:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lachomoza toka upande mmoja, na kuzunguka hadi upande mwingine; hakuna kiwezacho kuliepa joto lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huchomoza upande mmoja wa mbingu, na kufanya mzunguko wake hadi upande mwingine. Hakuna kilichojificha joto lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kutoka kwake lautoka mwisho wa mbingu, Na kuzunguka kwake hata miisho yake, Wala kwa hari yake Hakuna kitu kilichositirika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lachomoza toka upande mmoja, na kuzunguka hadi upande mwingine; hakuna kiwezacho kuliepa joto lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huchomoza upande mmoja wa mbingu, na kufanya mzunguko wake hadi upande mwingine, hakuna kilichojificha joto lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huchomoza upande mmoja wa mbingu, na kufanya mzunguko wake hadi upande mwingine. Hakuna kilichojificha joto lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuchomoza kwake ni katika mwisho wa mbingu, Na kuzunguka kwake ni hadi miisho ya mbingu, Wala hakuna kitu Kisichofikiwa na joto lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lachomoza toka upande mmoja, na kuzunguka hadi upande mwingine; hakuna kiwezacho kuliepa joto lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye mwisho wa mbingu ndiko, linakokucha, huendelea, mpaka lichwe kwenye mwisho wake mwingine, hakuna panapojificha, lisipawakie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kutoka kwake lautoka mwisho wa mbingu, Na kuzunguka kwake hata miisho yake, Wala kwa hari yake Hakuna kitu kilichositirika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nalo linatoka kama vile bwana-arusi kutoka chumba chake, linakimbia kwa furaha katika njia yake kama shujaa.