Psalms 19:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sheria ya Mwenyezi-Mungu ni kamilifu, humpa mtu uhai mpya; masharti ya Mwenyezi-Mungu ni thabiti, huwapa hekima wasio na makuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Torati ya Mwenyezi Mungu ni kamilifu, ikihuisha nafsi. Shuhuda za Mwenyezi Mungu ni za kuaminika, zikimpa mjinga hekima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sheria ya Bwana ni kamilifu, Huiburudisha nafsi. Ushuhuda wa Bwana ni amini, Humtia mjinga hekima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sheria ya Mwenyezi-Mungu ni kamilifu, humpa mtu uhai mpya; masharti ya Mwenyezi-Mungu ni thabiti, huwapa hekima wasio na makuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sheria ya BWANA ni kamilifu, ikihuisha nafsi. Shuhuda za BWANA ni za kuaminika, zikimpa mjinga hekima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Torati ya bwana ni kamilifu, ikihuisha nafsi. Shuhuda za bwana ni za kuaminika, zikimpa mjinga hekima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sheria ya BWANA ni kamilifu, Huiburudisha nafsi. Ushuhuda wa BWANA ni amini, Humtia hekima mtu asiye nayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sheria ya Mwenyezi-Mungu ni kamilifu, humpa mtu uhai mpya; masharti ya Mwenyezi-Mungu ni thabiti, huwapa hekima wasio na makuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maonyo yake Bwana yanayo kweli yote, hutuliza roho; ushahidi wake Bwana hutegemeka, hupambanusha wapumbavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sheria ya BWANA ni kamilifu, Huiburudisha nafsi. Ushuhuda wa BWANA ni amini, Humtia mjinga hekima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Linatokea kwa upande mumoja, na kuzunguka mpaka upande mwingine; hakuna kinachoweza kuepuka joto lake.