Psalms 19:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kanuni za Mwenyezi-Mungu ni sawa, huufurahisha moyo; amri ya Mwenyezi-Mungu ni safi, humwelimisha mtu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maagizo ya Mwenyezi Mungu ni kamili, nayo hufurahisha moyo. Amri za Mwenyezi Mungu huangaza, zatia nuru machoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maagizo ya Bwana ni ya adili, Huufurahisha moyo. Amri ya Bwana ni safi, Huyatia macho nuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kanuni za Mwenyezi-Mungu ni sawa, huufurahisha moyo; amri ya Mwenyezi-Mungu ni safi, humwelimisha mtu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maagizo ya BWANA ni kamili, nayo hufurahisha moyo. Amri za BWANA huangaza, zatia nuru machoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maagizo ya bwana ni kamili, nayo hufurahisha moyo. Amri za bwana huangaza, zatia nuru machoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maagizo ya BWANA ni ya adili, Huufurahisha moyo. Amri ya BWANA ni safi, Huyatia macho nuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kanuni za Mwenyezi-Mungu ni sawa, huufurahisha moyo; amri ya Mwenyezi-Mungu ni safi, humwelimisha mtu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maagizo yake Bwana hunyoka, hufurahisha mioyo, amri zake Bwana hung'aa, huangaza macho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maagizo ya BWANA ni ya adili, Huufurahisha moyo. Amri ya BWANA ni safi, Huyatia macho nuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sheria ya Yawe ni kamilifu; inamupa mutu uzima mupya. Maagizo ya Yawe ni ya kuaminiwa; yanawapa wajinga hekima.