Psalms 19:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni jambo jema, na la kudumu milele; maagizo ya Mwenyezi-Mungu ni sawa, yote ni ya haki kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumcha Mwenyezi Mungu ni utakatifu, nako kwadumu milele. Amri za Mwenyezi Mungu ni za hakika, nazo zina haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kicho cha Bwana ni kitakatifu, Kinadumu milele. Hukumu za Bwana ni kweli, Zina haki kabisa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni jambo jema, na la kudumu milele; maagizo ya Mwenyezi-Mungu ni sawa, yote ni ya haki kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumcha BWANA ni utakatifu, nako kwadumu milele. Amri za BWANA ni za hakika, nazo zina haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumcha bwana ni utakatifu, nako kwadumu milele. Amri za bwana ni za hakika, nazo zina haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kicho cha BWANA ni kitakatifu, Kinadumu milele. Hukumu za BWANA ni kweli, Zina haki kabisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni jambo jema, na la kudumu milele; maagizo ya Mwenyezi-Mungu ni sawa, yote ni ya haki kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumwogopa Bwana hutakasa, kutakuwapo kale na kale; maamuzi yake Bwana ni ya kweli, yote pamoja yameongoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kicho cha BWANA ni kitakatifu, Kinadumu milele. Hukumu za BWANA ni kweli, Zina haki kabisa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kanuni za Yawe ni sawa; zinafurahisha moyo. Amri za Yawe ni safi; zinamufungua mutu macho.