Psalms 2:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini mataifa yanafanya ghasia? Mbona watu wanafanya njama za bure?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, na makabila ya watu kula njama bure?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona mataifa wanafanya ghasia, Na makabila wanatafakari ubatili?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini mataifa yanafanya ghasia? Mbona watu wanafanya njama za bure?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, na mataifa kula njama bure?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, na kabila za watu kula njama bure?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona mataifa yanafanya ghasia, Na watu kuwaza mambo ya bure?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini mataifa yanafanya ghasia? Mbona watu wanafanya njama za bure?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona wamizimu hupiga makelele? Mbona makabila ya watu huwaza mambo yaliyo ya bure?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona mataifa wanafanya ghasia, Na makabila wanatafakari ubatili?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini mataifa yanafanya fujo? Mbona watu wanafanya shauri la bure?