Psalms 2:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa enyi wafalme, tumieni busara; sikilizeni onyo hili, enyi watawala wa dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, ninyi wafalme, kuweni na hekima; mwonyeke, enyi watawala wa dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa, enyi wafalme, fanyeni akili, Enyi waamuzi wa dunia, mwadibiwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa enyi wafalme, tumieni busara; sikilizeni onyo hili, enyi watawala wa dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, ninyi wafalme, iweni na hekima; mwonyeke, enyi watawala wa dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, ninyi wafalme, kuweni na hekima; mwonyeke, enyi watawala wa dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa, enyi wafalme, iweni na hekima, Enyi watawala wa dunia, mwaonywa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa enyi wafalme, tumieni busara; sikilizeni onyo hili, enyi watawala wa dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa nyie wafalme, pambanukeni! Nanyi waamuzi wa nchi, onyekani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa, enyi wafalme, fanyeni akili, Enyi waamuzi wa dunia, mwadibiwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, enyi wafalme, mutumie akili; musikilize onyo hili, enyi watawala wa dunia.