Psalms 2:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtumikieni Mwenyezi-Mungu kwa uchaji;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtumikieni Mwenyezi Mungu kwa hofu na mshangilie kwa kutetemeka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtumikieni Bwana kwa kicho, Shangilieni kwa kutetemeka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtumikieni Mwenyezi-Mungu kwa uchaji;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtumikieni BWANA kwa hofu na mshangilieni kwa kutetemeka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtumikieni bwana kwa hofu na mshangilie kwa kutetemeka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtumikieni BWANA kwa kicho, Shangilieni kwa kutetemeka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtumikieni Mwenyezi-Mungu kwa uchaji;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtumikieni Bwana kwa kumwogopa! Mshangilieni kwa kutetemeka!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtumikieni BWANA kwa kicho, Shangilieni kwa kutetemeka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumutumikie Yawe kwa woga; muiname mbele ya mwana wake na kutetemeka, kusudi asikasirike, nanyi musiangamie kwa rafla; kwa maana hasira yake inawaka haraka. Heri wote wanaokimbilia kwake!