Psalms 2:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanasema: “Tujiondoe katika utawala wao; tutupilie mbali minyororo yao!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanasema, “Tuvunje minyororo yao na kuvitupilia mbali vifungo vyao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tuvipasue vifungo vyao, Na kuzitupia mbali nasi kamba zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanasema: “Tujiondoe katika utawala wao; tutupilie mbali minyororo yao!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanasema, “Tuvunje minyororo yao na kuvitupilia mbali vifungo vyao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanasema, “Tuvunje minyororo yao na kuvitupilia mbali vifungo vyao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tuvipasue vifungo vyao, Na kuzitupa mbali nasi kamba zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanasema: “Tujiondoe katika utawala wao; tutupilie mbali minyororo yao!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na tuyavunje mafungo yao! na tuzitupe kamba zao, zisitufunge tena!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tuvipasue vifungo vyao, Na kuzitupia mbali nasi kamba zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)