Psalms 2:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu atawalaye juu mbinguni, anawacheka na kuwadhihaki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye anayetawala mbinguni hucheka, Bwana huwadharau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye aketiye mbinguni anacheka, Bwana anawafanyia dhihaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu atawalaye juu mbinguni, anawacheka na kuwadhihaki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye atawalaye mbinguni hucheka, Bwana huwadharau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye atawalaye mbinguni hucheka, Bwana huwadharau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye aketiye mbinguni anacheka, Bwana anawafanyia dhihaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu atawalaye juu mbinguni, anawacheka na kuwadhihaki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini akaaye mbinguni anawacheka, yeye Bwana anawafyoza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye aketiye mbinguni anacheka, Bwana anawafanyia dhihaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule anayetawala juu mbinguni anawachekelea na kuwazarau.