Psalms 2:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, anawakaripia kwa ghadhabu, na kuwatisha kwa hasira, akisema:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha huwakemea katika hasira yake na kuwaogopesha katika ghadhabu yake, akisema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo atakaposema nao kwa hasira yake, Na kuwafadhaisha kwa ghadhabu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, anawakaripia kwa ghadhabu, na kuwatisha kwa hasira, akisema:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha huwakemea katika hasira yake na kuwaogopesha katika ghadhabu yake, akisema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha huwakemea katika hasira yake na kuwaogopesha katika ghadhabu yake, akisema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo atakaposema nao kwa hasira yake, Na kuwafadhaisha kwa ghadhabu yake, akisema:
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, anawakaripia kwa ghadhabu, na kuwatisha kwa hasira, akisema:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zitakapotimia, atasema nao kwa makali yake, awastushe kwa moto wa machafuko yake:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo atakaposema nao kwa hasira yake, Na kuwafadhaisha kwa ghadhabu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, anawakaripia kwa kasirani na kuwatisha kwa hasira, akisema: