Psalms 2:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nimemtawaza mfalme niliyemteua, anatawala Siyoni, mlima wangu mtakatifu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nimemtawaza Mfalme wangu juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nimemweka mfalme wangu Juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nimemtawaza mfalme niliyemteua, anatawala Siyoni, mlima wangu mtakatifu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nimemtawaza mfalme wangu juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nimemtawaza Mfalme wangu juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nimemweka mfalme wangu Juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nimemtawaza mfalme niliyemteua, anatawala Siyoni, mlima wangu mtakatifu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nimemsimika mfalme wangu huko mlimani kwa Sioni kwenye utukufu wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nimemweka mfalme wangu Juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Nimemusimika mufalme niliyemuchagua; anatawala Sayuni, mulima wangu mutakatifu!”