Psalms 2:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme asema: “Nitatangaza azimio la Mwenyezi-Mungu. Mungu aliniambia: ‘Wewe ni mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitatangaza amri ya Mwenyezi Mungu: Yeye aliniambia, “Wewe ni Mwanangu; leo mimi nimekuwa Baba yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitaihubiri amri; Bwana aliniambia, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme asema: “Nitatangaza azimio la Mwenyezi-Mungu. Mungu aliniambia: ‘Wewe ni mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitatangaza amri ya BWANA: Yeye aliniambia, “Wewe ni Mwanangu, leo mimi nimekuzaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitatangaza amri ya bwana: Yeye aliniambia, “Wewe ni Mwanangu, leo mimi nimekuzaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitaihubiri amri; BWANA aliniambia, Wewe ni mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme asema: “Nitatangaza azimio la Mwenyezi-Mungu. Mungu aliniambia: ‘Wewe ni mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitasimulia shauri, Bwana aliloniambia: Wewe ndiwe Mwanangu, siku hii ya leo mimi nimekuzaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitaihubiri amri; BWANA aliniambia, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme anasema: “Nitatangaza amri ya Yawe. Mungu aliniambia: ‘Wewe ni mwana wangu, mimi leo nimekuwa baba yako.