Psalms 2:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niombe nami nitakupa mataifa yawe urithi wako, na dunia nzima kuwa mali yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niombe, nami nitayafanya mataifa kuwa urithi wako, na miisho ya dunia kuwa milki yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako, Na miisho ya dunia kuwa milki yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niombe nami nitakupa mataifa yawe urithi wako, na dunia nzima kuwa mali yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niombe, nami nitayafanya mataifa kuwa urithi wako, miisho ya dunia kuwa milki yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niombe, nami nitayafanya mataifa kuwa urithi wako, miisho ya dunia kuwa milki yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako, Na miisho ya dunia kuwa milki yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niombe nami nitakupa mataifa yawe urithi wako, na dunia nzima kuwa mali yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Omba kwangu! Nami nitakupa wamizimu, wawe fungu lako, nayo mapeo ya nchi, yawe mali zako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako, Na miisho ya dunia kuwa milki yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniombe nami nitakupa mataifa kuwa urizi wako, na dunia nzima kuwa mali yako.