Psalms 2:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utawaponda kwa fimbo ya chuma; utawavunja kama chungu cha mfinyanzi!’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utawapondaponda kwa fimbo ya chuma, na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utawaponda kwa fimbo ya chuma, Na kuwavunja kama chombo cha mfinyanzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utawaponda kwa fimbo ya chuma; utawavunja kama chungu cha mfinyanzi!’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utawatawala kwa fimbo ya kifalme ya chuma na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utawatawala kwa fimbo ya chuma na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utawaponda kwa fimbo ya chuma, Na kuwavunja kama chombo cha mfinyanzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utawaponda kwa fimbo ya chuma; utawavunja kama chungu cha mfinyanzi!’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa fimbo ya chuma utawaponda, kama vyombo vya mfinyanzi utawavunja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utawaponda kwa fimbo ya chuma, Na kuwavunja kama chombo cha mfinyanzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utawaponda kwa fimbo ya chuma, utawavunja kama chungu cha mufinyanzi!’ ”