Psalms 20:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) Mwenyezi-Mungu akujibu uwapo taabuni; jina la Mungu wa Yakobo likulinde.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu na akujibu unapokuwa katika dhiki, jina la Mungu wa Yakobo na liwe kinga yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akujibu siku ya dhiki, Jina la Mungu wa Yakobo likuinue.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akujibu uwapo taabuni; jina la Mungu wa Yakobo likulinde.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) BWANA na akujibu unapokuwa katika dhiki, jina la Mungu wa Yakobo na liwe kinga yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana na akujibu unapokuwa katika dhiki, jina la Mungu wa Yakobo na liwe kinga yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akujibu siku ya dhiki, Jina la Mungu wa Yakobo likuinue.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akujibu uwapo taabuni; jina la Mungu wa Yakobo likulinde.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana na akuitikie siku ya kusongeka, nalo Jina la Mungu wa Yakobo likuwie ngome!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akujibu siku ya dhiki, Jina la Mungu wa Yakobo likuinue.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Daudi.