Psalms 20:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akujalie unayotamani moyoni mwako, aifanikishe mipango yako yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na akujalie haja ya moyo wako, na aifanikishe mipango yako yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akujalie kwa kadiri ya haja ya moyo wako, Na kuyatimiza mashauri yako yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akujalie unayotamani moyoni mwako, aifanikishe mipango yako yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na akujalie haja ya moyo wako na aifanikishe mipango yako yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na akujalie haja ya moyo wako, na aifanikishe mipango yako yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akujalie kwa kadiri ya haja ya moyo wako, Na kukutimizia mipango yako yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akujalie unayotamani moyoni mwako, aifanikishe mipango yako yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo wako uyatakayo na akupe, nayo mashauri yako yote akutimizie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akujalie kwa kadiri ya haja ya moyo wako, Na kuyatimiza mashauri yako yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akumbuke sadaka zako zote; akubali sadaka zako za kuteketezwa.