Psalms 20:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tutashangilia kwa ajili ya ushindi wako; tutatweka bendera kulitukuza jina la Mungu wetu. Mwenyezi-Mungu akutimizie maombi yako yote!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda, tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu. Mwenyezi Mungu na akupe haja zako zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tuushangilie wokovu wako, Kwa jina la Mungu wetu tuzitweke bendera zetu. Bwana akutimizie matakwa yako yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tutashangilia kwa ajili ya ushindi wako; tutatweka bendera kulitukuza jina la Mungu wetu. Mwenyezi-Mungu akutimizie maombi yako yote!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda, tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu. BWANA na akupe haja zako zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda, tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu. bwana na akupe haja zako zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tuushangilie wokovu wako, Kwa jina la Mungu wetu tuzitweke bendera zetu. BWANA akutimizie matakwa yako yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tutashangilia kwa ajili ya ushindi wako; tutatweka bendera kulitukuza jina la Mungu wetu. Mwenyezi-Mungu akutimizie maombi yako yote!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na tushangilie hivyo, anavyokuokoa! Katika Jina la Mungu wetu na tutweke bendera, Bwana atakapokutimilizia yote, uliyomwomba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tuushangilie wokovu wako, Kwa jina la Mungu wetu tuzitweke bendera zetu. BWANA akutimizie matakwa yako yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akujalie unayotamani ndani ya moyo wako, afanikishe mipango yako yote.