Psalms 20:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao watajikwaa na kuanguka; lakini sisi tutainuka na kusimama imara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao wameshushwa chini na kuanguka, bali sisi tunainuka na kusimama imara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wao wameinama na kuanguka, Bali sisi tumeinuka na kusimama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao watajikwaa na kuanguka; lakini sisi tutainuka na kusimama imara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao wameshushwa chini na kuanguka, bali sisi tunainuka na kusimama imara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao wameshushwa chini na kuanguka, bali sisi tunainuka na kusimama imara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wao wameinama na kuanguka, Bali sisi tumeinuka na kusimama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao watajikwaa na kuanguka; lakini sisi tutainuka na kusimama imara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao wakajikwaa, wakaanguka; lakini sisi tukainuka, tukajisimamisha wima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wao wameinama na kuanguka, Bali sisi tumeinuka na kusimama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamoja wanajivunia magari ya vita, wengine farasi wao. Lakini sisi tunajivunia Yawe, Mungu wetu.