Psalms 20:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umjalie mfalme ushindi, ee Mwenyezi-Mungu; utujibu wakati tunapokuomba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, mwokoe mfalme! Tujibu tunapokuita!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, umwokoe mfalme, Utuitikie siku tuitayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umjalie mfalme ushindi, ee Mwenyezi-Mungu; utujibu wakati tunapokuomba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, mwokoe mfalme! Utujibu wakati tunapokuita!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, mwokoe mfalme! Tujibu tunapokuita!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, umwokoe mfalme, Utuitikie siku tuitayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umjalie mfalme ushindi, ee Mwenyezi-Mungu; utujibu wakati tunapokuomba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, tunakuomba, mwokoe mfalme! Nasi siku, tutakapokuita, utuitikie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, umwokoe mfalme, Utuitikie siku tuitayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao wanajikwaa na kuanguka; lakini sisi tunasimama na kuimarika.