Psalms 21:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utawaangamiza wazawa wao kutoka duniani; watoto wao hawatasalia kati ya binadamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani, uzao wao kutoka wanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matunda yao utayaharibu na kuyaondoa katika nchi, Na wazao wao katika wanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utawaangamiza wazawa wao kutoka duniani; watoto wao hawatasalia kati ya binadamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani, uzao wao kutoka katika wanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani, uzao wao kutoka wanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matunda yao utayaharibu na kuyaondoa katika nchi, Na wazao wao katika wanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utawaangamiza wazawa wao kutoka duniani; watoto wao hawatasalia kati ya binadamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vizazi vyao utaviangamiza, viishie nchini, nazo koo zao sharti zitoweke kwenye wana wa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matunda yao utayaharibu na kuyaondoa katika nchi, Na wazao wao katika wanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakapotokea utawaangamiza kama kwa moto wa furu. Yawe atawamaliza kwa hasira yake, moto utawateketeza kabisa.