Psalms 21:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata kama wakipanga maovu dhidi yako, kama wakitunga mipango ya hila, kamwe hawataweza kufaulu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa watapanga mabaya dhidi yako na kutunga hila, hawawezi kufanikiwa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Madhali walinuia kukutenda mabaya, Waliwaza hila wasipate kuitimiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata kama wakipanga maovu dhidi yako, kama wakitunga mipango ya hila, kamwe hawataweza kufaulu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa watapanga mabaya dhidi yako na kutunga hila, hawawezi kufanikiwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa watapanga mabaya dhidi yako na kutunga hila, hawawezi kufanikiwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakipanga kukutenda mabaya, Kwa mipango ya hila, hawatafanikiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata kama wakipanga maovu dhidi yako, kama wakitunga mipango ya hila, kamwe hawataweza kufaulu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wamekutegea vibaya, wakakuwazia yenye ujanja, lakini hawakuweza kuyafanyiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Madhali walinuia kukutenda mabaya, Waliwaza hila wasipate kuitimiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utawaangamiza wazao wao watoweke katika dunia; watoto wao hawatabaki kati ya wanadamu.