Psalms 21:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa maana wewe utawatimua mbio, utawalenga usoni kwa mishale yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa utawafanya wakimbie utakapowalenga usoni pao kwa mshale kutoka upinde wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana utawafanya kukupa kisogo, Kwa upote wa uta wako ukiwaelekezea mishale.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa maana wewe utawatimua mbio, utawalenga usoni kwa mishale yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa utawafanya wakimbie utakapowalenga usoni pao kwa mshale kutoka kwenye upinde wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa utawafanya wakimbie utakapowalenga usoni pao kwa mshale kutoka kwenye upinde wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana utawatimua utawafanya wakimbie, Kwa uta wako utazilenga nyuso zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa maana wewe utawatimua mbio, utawalenga usoni kwa mishale yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani utawashurutisha kuonyesha migongo, wakikimbia, maana nyugwe za pindi zako utazivuta machoni pao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana utawafanya kukupa kisogo, Kwa upote wa uta wako ukiwaelekezea mishale.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata kama wakifanya shauri baya juu yako, kama wakikamata mipango ya udanganyifu, hawataweza kitu hata kidogo.