Psalms 21:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utukuzwe ee Mwenyezi-Mungu kwa sababu ya nguvu yako! Tutaimba na kuusifu uwezo wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, utukuzwe katika nguvu zako, tutaimba na kusifu nguvu zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, utukuzwe kwa nguvu zako, Nasi tutaimba na kuuhimidi uweza wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utukuzwe ee Mwenyezi-Mungu kwa sababu ya nguvu yako! Tutaimba na kuusifu uwezo wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, utukuzwe katika nguvu zako, tutaimba na kusifu nguvu zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, utukuzwe katika nguvu zako, tutaimba na kusifu nguvu zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, utukuzwe kwa nguvu zako, Nasi tutaimba na kuuhimidi uwezo wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utukuzwe ee Mwenyezi-Mungu kwa sababu ya nguvu yako! Tutaimba na kuusifu uwezo wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tukuka, Bwana, kwa nguvu zako! Nasi tuimbe na kuyakuza matendo ya uwezo wako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, utukuzwe kwa nguvu zako, Nasi tutaimba na kuuhimidi uweza wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana wewe utapiga mishale mbele yao, utawakimbiza mbio.