Psalms 21:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umemtimizia matakwa ya moyo wake; wala hukumkatalia ombi lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umempa haja ya moyo wake na hukumzuilia maombi ya midomo yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umempa haja ya moyo wake, Wala hukumzuilia matakwa ya midomo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umemtimizia matakwa ya moyo wake; wala hukumkatalia ombi lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umempa haja ya moyo wake na hukumzuilia maombi ya midomo yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umempa haja ya moyo wake na hukumzuilia maombi ya midomo yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umempa haja ya moyo wake, Wala hukumzuilia matakwa ya midomo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umemtimizia matakwa ya moyo wake; wala hukumkatalia ombi lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo wake uyatunukiayo umempa; wala hukumnyima midomo yake iliyoyaomba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umempa haja ya moyo wake, Wala hukumzuilia matakwa ya midomo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, mufalme anashangilia kwa nguvu yako, anafurahi sana kwa musaada uliomupa.