Psalms 21:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa msaada wako ametukuka sana; wewe umemjalia fahari na heshima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutokana na ushindi uliompa, utukufu wake ni mkubwa, umeweka juu yake fahari na utukufu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utukufu wake ni mkuu kwa wokovu wako, Heshima na adhama waweka juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa msaada wako ametukuka sana; wewe umemjalia fahari na heshima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutokana na ushindi uliompa, utukufu wake ni mkubwa, umeweka juu yake fahari na utukufu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutokana na ushindi uliompa, utukufu wake ni mkubwa, umeweka juu yake fahari na utukufu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utukufu wake ni mkuu kwa wokovu wako, Heshima na adhama waweka juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa msaada wako ametukuka sana; wewe umemjalia fahari na heshima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utukufu, aupatao, ni mkubwa kwa hivyo, unavyomsaidia, hata marembo na mapambo umempatia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utukufu wake ni mkuu kwa wokovu wako, Heshima na adhama waweka juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikuomba maisha, nawe ukamupatia; ulimupatia siku nyingi milele na milele.